Mbunge huyo katika kutekereza majukum ya kuwatumikia wananchi wa mkoa wa iringa alipa fulsa hiyo siku chache baada ya kutoka katika vikao vya Bunge mjini Dodoma.
Katika ziara hiyo Mh.Ritta alipata nafasi ya kuzungumza na wafungwa wa geraza hilo na kuwatia moyo kwa changamoto wanazozipata katika gereza hilo ambapo alisema kuwa yeye kama mama mwenye uchungu na mtoto anaumia kuona jamii ya watu wengi wakiwa katika mazingira hayo kwani sikila mtu ayeko gerezani alifanya kosa hata kama alifanya kosa kuna watu wapo nje wanatenda uovu zaidi kuliko makosa yaliyofanywa na wale waliofungwa.
Hivyo kattika mazungumzo hayo alitoa fulsa kwa wafungwa na mahabusu kutoa maoni yao katika maoni hayo alipata ombi la baadhi ya wafungwa wenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi waalioomba kulipiwa faini ya shilingi laki moja na elfu ishilini ili waweze kutoka pamoja na kukutana na Raia wa kigeni kutoka nchini Ethiopia 12 waliowekwa mahabusu katuka gereza hilo ambao wanahitaji kiasi cha shilingi elfu hamsini kila mmoja ambapo jumla ni shilingi laki sita ili kupunguza msongamono wa wafungwa waliopo katika gereza hilo kwani hivi sasa gereza hilo lina jumla ya wafungwa na mahabusu zaidi ya 400 ikiwa gereza hilo linaweza kuchukua wafungwa 228 pekee,hii ikiwa ni kwa mujibu wa mkuu wa Geraza hilo.
Kwa kushirikiana na viongozi wa juu serikalini akiwamo waziri wa sheria na waziri wa mambo ya Ndani Dk.Emmanuel Nchimbi na kuahidi kuzitekeleza baadhi ya changamoto zinazo likabili gereza hilo.
CHAMA CHA MAPINDUZI CCM BABA LAO
HII NDIYO CCM
Jumapili, 17 Novemba 2013
Jumatatu, 11 Novemba 2013
Jumapili, 27 Oktoba 2013
SHUGHULI ZA KIJAMII ZINAZOFANYWA NA MBUNGE WA VITIMAALUM MKOA WA IRINGA MH.RITTA KABATI
| Baadhi ya viongozi wakiwa na mbunge wa vitimaalum katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa mjini |
| Mkurugenzi wa Manispaa(kulia)bi Teresia Mahongo katikati ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Iringa mjini anafuata na Mbunge wa vitimaalum Iringa |
| Mh.Mbunge akikabidhi vitabu kwa walimu wa shule za sekondari manispaa ya Iringa |
| Mh.Mbunge Akikabidhi Madawati kwa walimu wa shule za msingi Manispaa ya Iringa |
| Mbunge Akikabidhi kompiuta kwa chama cha waandishi wa habari Iringa IPC |
Jumatano, 16 Oktoba 2013
PICHA MBALIMBALI ZINAZOHUSU KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI
Rais
Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete
na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
Banda la bodi ya Filamu
Banda la vijana toka Zanzibar
Rais Kikwete akiangalia bidhaa za vijana toka Zanzibar
Vijana wa Zanzibar wakitoa maelezo ya kazi zao
Kijana Kenneth Mwangoka kutoka Nyololo akiwa na gari lake la miti
Rais Kikwete akisalimiana na kijana Kenneth Mwangoka
Rais Kikwete akiangalia gari la miti
Chuo Kikuu cha Mkwawa
Karibu mgeni
Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa za wajasiriamali
Alhamisi, 3 Oktoba 2013
Hongera Mh.Mbunge kwa kujituma katika shughuli za kijamii mkoani Iringa
WANANCHI MKOANI IRINGA WAMLILIA MBUNGE KABATI(CCM) JUU YA ELIMU
- Wamuomba awasaidie kuomba wahisani kuboresha miundombinu ya shule Iringa
- Aahidi kushirikiana nao katika kusaidia maendeleo ya elimu mkoani Iringa
- Wampongeza kwa kujitoa kwake
![]() |
| Mh.Mbunge akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Jitegemee manispaa ya iringa |
![]() |
| Mh.Mbunge Ritta Kabati akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa Darasa la saba shle ya msingi jitegemee |
![]() |
| Hiki ni kibao cha shule ya msingi Gangilonga Manispaa ya Iringa |
![]() |
| Mh.Ritha kabati akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya msingi Gangilonga katika mahafari |
![]() |
| Madarasa ya shule ya msingi gangilonga yahitaji ukarabati |
![]() |
| Mh.mbunge akioneshwa mazingira ya shule yanayohitaji ukarabati |
| Risara kwa Mgeni rasmi ambaya ni Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)













































