SHUGHULI ZA KIJAMII ZINAZOFANYWA NA MBUNGE WA VITIMAALUM MKOA WA IRINGA MH.RITTA KABATI
 |
Mb.Mh.Ritta Kabati akizungumza na waandishi baada ya kutoa msaada wa vifaa |
 |
Baadhi ya viongozi wakiwa na mbunge wa vitimaalum katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa mjini |
 |
Mkurugenzi wa Manispaa(kulia)bi Teresia Mahongo katikati ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Iringa mjini anafuata na Mbunge wa vitimaalum Iringa |
 |
Mh.Mbunge akikabidhi vitabu kwa walimu wa shule za sekondari manispaa ya Iringa |
 |
Mh.Mbunge Akikabidhi Madawati kwa walimu wa shule za msingi Manispaa ya Iringa |
 |
Mbunge Akikabidhi kompiuta kwa chama cha waandishi wa habari Iringa IPC |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni