CHAMA CHA MAPINDUZI CCM BABA LAO

CHAMA CHA MAPINDUZI CCM BABA LAO
HII NDIYO CCM

Ijumaa, 20 Desemba 2013

WAETHIOPIA 12 WAPONEA MIKONONI MWA MBUNGE VITIMAALUM MKOANI IRINGA RITTA KABATI

MBUNGE WA VITIMAALUM AWAONDOA WAETHIOPIA 12 KUTOKANA NA MLUNDIKANO WA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA MKOA WA IRINGA NA UHITAJI WA KUPUNGUZA BAADHI YA WAFUNGWA KWA FAINI

Baada ya kutembelea katika Gereza la mkoa wa Iringa Mbunge wa Vitimaalumu Mkoani hapa alikutana na changamoto ya mlundikano wa wafungwa wengine wakiwa ni wageni raia wa Ethiopian 12 ambao kwa mujibu wa Mkuu wa Gereza hilo walitakiwa kulipiwa kiasi cha shilingi elfu hamsini 50,000/=ili watolewe kwakuwa nimiongoni mwa wafungwa wasiojihusihsa na jambo lolote katika gereza hilo hivyo Mbunge wa vitimaalum Ritta kabati kulipia fedha hizo na siku ya tarehe 18.12.2013 kufanikiwa kutolewa na kurudishwa nchini kwao ikiwa walishutumiwa kwa uhamiaji haram hapa nchini.

Jumapili, 17 Novemba 2013

MBUNGE WA VITIMAALUM MKOANI IRINGA AWATEMBELEA WAFUNGWA WA GEREZA LA MKOA HUU NAKUZUNGUMZA NAO,AWAHIDI KUWALIPIA FAINI MAHABUSU 12 RAIA WA ETHIOPIA ILI KUPUNGUZA MZIGO GEREZANI HAPO

Mbunge huyo katika kutekereza majukum ya kuwatumikia wananchi wa mkoa wa iringa alipa fulsa hiyo siku chache baada ya kutoka katika vikao vya Bunge mjini Dodoma.

Katika ziara hiyo Mh.Ritta alipata nafasi ya kuzungumza na wafungwa wa geraza hilo na kuwatia moyo kwa changamoto wanazozipata katika gereza hilo ambapo alisema kuwa yeye kama mama mwenye uchungu na mtoto anaumia kuona jamii ya watu wengi wakiwa katika mazingira hayo kwani sikila mtu ayeko gerezani alifanya kosa hata kama alifanya kosa kuna watu wapo nje wanatenda uovu zaidi kuliko makosa yaliyofanywa na wale waliofungwa.

Hivyo kattika mazungumzo hayo alitoa fulsa kwa wafungwa na mahabusu kutoa maoni yao katika maoni hayo alipata ombi la baadhi ya wafungwa wenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi waalioomba kulipiwa faini ya shilingi laki moja na elfu ishilini ili waweze kutoka pamoja na kukutana na Raia wa kigeni kutoka nchini Ethiopia 12 waliowekwa mahabusu katuka gereza hilo ambao wanahitaji kiasi cha shilingi elfu hamsini  kila mmoja ambapo jumla ni shilingi laki sita ili kupunguza msongamono wa wafungwa waliopo katika gereza hilo kwani hivi sasa gereza hilo lina jumla ya wafungwa na mahabusu zaidi ya 400 ikiwa gereza hilo linaweza kuchukua wafungwa 228 pekee,hii ikiwa ni kwa mujibu wa mkuu wa Geraza hilo.

Kwa kushirikiana na viongozi wa juu serikalini akiwamo waziri wa sheria na waziri wa mambo ya Ndani Dk.Emmanuel Nchimbi na kuahidi kuzitekeleza baadhi ya changamoto zinazo likabili gereza hilo.

Jumatatu, 11 Novemba 2013

MBUNGE Ritta Kabati aendelea Kuisaidia jamii Mkoani Iringa

Mtoto mlemavu Husein Kafuko wa kijiji cha Itagutwa wilaya ya Iringa vijijini apewa msaada wa Baiskeli ya Miguumitatu na mbunge Ritta Kabati
 
 Katibu wa Mbunge

Jumapili, 27 Oktoba 2013

SHUGHULI ZA KIJAMII ZINAZOFANYWA NA MBUNGE WA VITIMAALUM MKOA WA IRINGA MH.RITTA KABATI 
 
Mb.Mh.Ritta Kabati akizungumza na waandishi baada ya kutoa msaada wa vifaa
Baadhi ya viongozi wakiwa na mbunge wa vitimaalum katika ukumbi wa Manispaa ya Iringa mjini
Mkurugenzi wa Manispaa(kulia)bi Teresia Mahongo katikati ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Iringa mjini anafuata na Mbunge wa vitimaalum Iringa
Mh.Mbunge akikabidhi vitabu kwa walimu wa shule za sekondari manispaa ya Iringa


Mh.Mbunge Akikabidhi Madawati kwa walimu wa shule za msingi Manispaa ya Iringa











Mbunge Akikabidhi kompiuta kwa chama cha waandishi wa habari Iringa IPC



Jumatano, 16 Oktoba 2013

PICHA MBALIMBALI ZINAZOHUSU KILELE CHA MBIO ZA MWENGE MKOANI


 Rais Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni
 Banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Katika banda la Mwalimu Nyerere Foundation
 Spika Anne Makinda akiongea na mmoja wa vijana kwenye banda lao
 Banda la bodi ya Filamu
 Banda la vijana toka Zanzibar
 Rais Kikwete akiangalia bidhaa za vijana toka Zanzibar
 Vijana wa Zanzibar wakitoa maelezo ya kazi zao
 Kijana Kenneth Mwangoka kutoka Nyololo akiwa na gari lake la miti
 Rais Kikwete akisalimiana na kijana Kenneth Mwangoka
 Rais Kikwete akiangalia gari la miti
 Chuo Kikuu cha Mkwawa
 Karibu mgeni
 Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa za wajasiriamali

Alhamisi, 3 Oktoba 2013

Hongera Mh.Mbunge kwa kujituma katika shughuli za kijamii mkoani Iringa

WANANCHI MKOANI IRINGA WAMLILIA MBUNGE KABATI(CCM) JUU YA ELIMU

  • Wamuomba awasaidie kuomba wahisani kuboresha miundombinu ya shule Iringa 
  • Aahidi kushirikiana nao katika kusaidia maendeleo ya elimu mkoani Iringa
  • Wampongeza kwa kujitoa kwake
Mh.Mbunge akiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Jitegemee manispaa ya iringa
Mh.Mbunge Ritta Kabati akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa Darasa la saba shle ya msingi jitegemee


Hiki ni kibao cha shule ya msingi Gangilonga Manispaa ya Iringa
Mh.Ritha kabati akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya msingi Gangilonga katika mahafari

Madarasa ya shule ya msingi gangilonga yahitaji ukarabati


Mh.mbunge akioneshwa mazingira ya shule yanayohitaji ukarabati

Risara kwa Mgeni rasmi ambaya ni Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati