BAADHI YA PICHA ZA MADAM MH.MBUNGE VITIMAALUM KATIKA ZIARAZAKE MKOANI IRINGA
 |
Rais wa Jamuhuri ya muungano Tanzania akiwa na baadhi ya viongozi |
 |
Mh.Ritta Kabati akiwa pamoja na wanakikundi cha CCDO Kihesa |
 |
Wanakikundi CCDO Iringa wakiwa katika uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wanawake |
 |
Waziri wa Maendeleo ,Jinsia na watoto DK.Sofia Simba (kushoto) akiwa na mkuu wa mkoa wa Iringa Dk.Christine Ishengoma katika uzinduzi wa elimu ya wanawake |
 |
Mwenyekiti wa Chama Cha Mpinduzi CCM Madam Jesca Msambatavangu akiwa na mbunge vitimaalum |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni