RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA KULAKIWA NA MAMIA YA WATANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MBILI
![]() |
Rais Obama na familia yake wakiwasili katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere nchini Tanzania |

![]() |
Rais Barrack Obama akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) |
![]() |
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Michelle Obama muda mfupi baada ya kuwasili kwa Rais Obama nchini kwa ziara ya siku mbili nchin. |
![]() |
Akina mama nao hawako nyuma kumlaki Barack Obama |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni